EWURA Banner
HabariLeo Logo
 
Tafuta:
 
 
 
Habari za Biashara na Uchumi

Wajenga uwezo Afrika wapiga tafu Afrika Mashariki
Imeandikwa na Anastazia Anyimike; Tarehe: 25th July 2010 @ 23:30 Imesomwa na watu: 229; Jumla ya maoni: 0


Habari Zaidi:
  • Saidieni ujenzi wa nyumba za walimu, Hakielimu waambiwa
  • Sido wawezesha maonesho Singida
  • TLTC yamwaga 118.2m/- Urambo
  • Baraza lazipiga msasa Saccos
  • Precision Air yazindua ndege nyingine mpya
  • TaCRI yawasaidia wakulima Kilimanjaro
  • Wanawake zingatieni masharti ya mikopo -Mama Salma
  • Vodacom yatoa ofa ya Mwezi Mtukufu
  • PSI yasambaza kondomu za mil. 1.5/- kwa waathirika VVU
  • Wakulima 700,000 wakamilisha mzunguko wa vocha za ruzuku
  • Wazee wilaya ya Morogoro kukopeshwa
  • ‘Umoja wa forodha unakuza uchumi’
  • Mkurabita wawataka wasanii kujiweka rasmi
  • Henan kuimarisha uhusiano na Dar es Salaam
  • Kopeni kuleta maendeleo, KCB yaasa
  • Hits yazindua nembo
  • Zain yatoa futari kwa watoto yatima
  • Kiwanda cha kukata madini chazinduliwa Arusha
  • Wakulima wanufaika na soko la mazao
  • Mabasi ya Kangi Bomba kuendelea na biashara

  • Habari zinazosomwa zaidi:
  • Balaa lingine kwa Chenge
  • Salama: Jasiri aliyetangaza kuishi na virusi vya Ukimwi
  • Dina Marius, mrithi wa Amina Chifupa
  • ‘Housigeli’ anataka kuniharibia ndoa
  • Vatican yamvua jimbo Askofu
  • Kikwete achekecha wakuu wa wilaya
  • Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano waongezeka kwa 22%
  • Interpol yatumika kusaka wenye zeutamu
  • Orijino Komedi, Jay Dee waitwa Iringa
  • JK apigilia msumari wa mwisho Dowans
  • TAASISI ya Kujenga Uwezo ya Afrika (ACBF) imetoa jumla ya dola za Marekani milioni 2.3 kwa taasisi mbili kwa lengo la kuzisaidia kukuza uchumi na kusaidia maendeleo ya mafunzo mtandaoni.

    Taasisi zilizonufaika na fedha hizo ni Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) lililopewa dola za Marekani milioni 1.8 (zaidi ya shilingi bilioni 2.5) na Kituo cha Maendeleo ya Mafunzo ya Mtandao (TGDLC) ambacho kimetenga dola za Marekani 500,000 sawa na zaidi ya Sh milioni 700.

    Akizungumza wakati wa kutia saini makubaliano hayo yaliyofanyika juzi, Katibu Mtendaji wa ACBF, Dk Frannie Leautier alisema makubaliano ya EABC ni kwa miaka minne wakati yale ya TGDLC ni kwa miaka mitatu.

    “Makubaliano hayo kwa EABC yamekuja muda muafaka wakati kumeshaanza kutekelezwa kwa makubaliano ya Soko la Pamoja la nchi za Afrika Mashariki ambalo linatoa uhuru wa maingiliano katika mitaji, ajira, bidhaa na huduma hivyo kuwa na mahitaji kwa sekta binafsi kutoa huduma na bidhaa bora."

    “ACBF itahakikisha inalisaidia baraza kutimiza programu zao, kwa lengo la kujenga uwezo katika sekta binafsi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na pia TGLDLC kwa lengo la kutekeleza mradi wa Tanzania Country Level Knowledge Network (TZ CLK-NET),” alisema.

    Aidha, Mwenyekiti wa Bodi ya TGDLC, Florens Turuka alisema kuwa fedha hizo zitasaidia kukuza na kuendeleza mtandao wa mawasiliano hapa nchini.

    Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Alloys Mutabingwa pamoja na kuishukuru ACBF kwa kutoa fedha hizo, alisema msaada huo utasaidia kujenga mazingira bora ya biashara kwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.

     
         
    Email this to a friend   Print this article
    Jumla Maoni (0)
         
     
     
      Tuma Maoni yako
       

    Jina la Kwanza:

    Jina la mwisho:
    Baruapepe: Barua Pepe imekosewa.
    Maoni yako:   Andika Maoni yako tafadhali.Tafadhali andika Maoni yako.
     
     
     
    UCHAMBUZI
    Image

    Magereza fanyieni kazi malalamiko ya wafungwa

    SOMA | HIFADHI
    SAFU
    Image

    Tekuteku za Tefutefu!

    SOMA | HIFADHI
    NYOTA WA WIKI
    Image

    Mtangazaji kajikomboa kwa kuanzisha redio

    SOMA | HIFADHI
    JISAJILI NASI
    Jina la kwanza:
    Jina la Ukoo:
    Baruapepe: A value is required.
     
     
     
    Wasiliana nasi mhariri@habarileo.co.tz, advertising@dailynews.co.tz
    Simu:+255 22 2 127492 au 22 2 116074 au +255 22 2 110595 au 22 2 127493
    HabariLeo © 2009 Haki zote zimehifadhiwa.
    DailyNews Building, Plot 7, Samora Avenue, Box 9033, Dar es Salaam, Tanzania Copyright © 2009 DailyNews Media Group
    Advertisement
    TSN Adveritising