Chakula kwa wanafunzi
- Post 13 Septemba 2012
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (katikati) akipokea mifuko ya chakula kutoka kwa Mwenyekiti wa kampuni ya Kamal Group, Gagan Gupta wakati wa uzinduzi wa mpango wa chakula kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kerege iliyoko Bagamoyo juzi.
Mpango huo unaosimamiwa na Kampuni ya Kamal utazifikia shule 20 za Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ndani ya miaka mitano. Kulia ni Diwani wa Kata ya Kerege, Tabia Nasoro. (Na Mpigapicha Wetu).

