NDEGE - DORIA.

Wanafunzi wa Shule Kata ya Mbulu wilayani Karatu wakiangalia ndege ndogo isiyo na rubani inayofanya doria dhidi ya ujangili na migogoro ya wanavijiji ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha, jana. (Picha na Marc Nkwame).