Canara

Balozi wa India Tanzania, Sandeep Arya (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Canara kutoka India, Rakesh Sharma wakisoma maandishi ya benki hiyo baada ya kuzindua Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu).