Hongera Waziri Mkuu

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuapishwa Ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma.