GARI - KUKABIDHI.

Mbunge wa Kalambo anayemaliza muda wake, Josephat Kandege akikabidhi gari la wagonjwa aina ya Noah kama msaada kwa Kituo cha Afya Mwimbi kwenye hafla iliyofanyika mkoani Rukwa juzi. (Picha na Peti Siyame).