KIKAO - ULINZI NA USALAMA.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Adadi Rajabu (katikati) akiongoza kikao cha wajumbe wa kamati hiyo (kulia) walipokutana na watendaji wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (kushoto), Dar es Salaam juzi. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).