Jarida la wanawake: Wanawake tukatae kunyanyaswa kushiriki matukio ya Kitaifa

UANDIKISHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo wa Kielektroniki wa BVR jijini Dar es Salaam umefanyika kwa takribani siku zaidi ya 10 ambapo wake kwa waume wameshuhudia misururu mirefu ya wananchi waliojitokeza kwa wingi katika kujiandikisha ili watumie haki yao ya kidemokarasia ya kupiga kura.

Add a comment
Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko
Mavumbuo: 84