Kusalimiana

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Japan, Mathias Chikawe wakati balozi huyo alipofika ofisini kwa Waziri Mkuu kumuaga, mjini Dodoma jana. (Picha na OWM).