BANGI.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari matenga manane ya ndizi yaliyochanganywa na mifuko ya bangi iliyokuwa ikisafirishwa ndani ya gari lenye namba za usajili T 269 BJN aina ya Volvo yenye tela namba T 215 AGC, baada ya kukamatwa juzi na askari wa doria eneo la Mikese likitokea mkoani Singida kwenda Dar es Salaam. (Picha na John Nditi).