MGOMO.

Vibarua wa kampuni ya Pepsi waliokuwa wamegoma wakifurahia maji yaliyokuwa yakirushwa na gari maalumu la Polisi ambayo hata hivyo yalikuwa hayawashi, jambo ambalo liliwafanya wavue na mashati, Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha na Robert Okanda).