loader
Picha

Waziri Mkuu aichangia Yanga milioni 10/-, Rostam Aziz milioni 200/-

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameichangia Yanga kiasi cha Shilingi milioni 10 katika tamasha la kuichangia klabu hiyo ya Jangwani linaloendela jijini Dar es Salaam leo Jumamosi.

Pamoja na mchango wake, amewasilisha ahadi ya mfanyabiashara Rostam Aziz ambaye ameahidi Sh milioni 200.

Waziri Mkuu ambaye ni mgeni rasmi katika tamasha hilo lilolopewa jina “Kubwa Kuliko” ameipongeza klabu hiyo kwa kushika nafasi ya pili Ligi Kuu Bara licha ya kukabiliwa na ukata.

Hata hivyo, amevitaka vilabu kubuni mifumo mizuri ya uendeshaji huku akisisitiza "Hakuna Yanga Imara Bila Simba Imara, Hakuna Simba Imara bila Yanga Imara."

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na ...

foto
Mwandishi: Na Mwandishi Wetu

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi