loader
Dstv Habarileo  Mobile
Wanajeshi zaidi wapelekwa kukabili virusi vya corona

Wanajeshi zaidi wapelekwa kukabili virusi vya corona

SERIKALI ya China imepeleka nyongeza ya wataalamu wa afya 2,600 kutoka katika majeshi yake ili kuongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona katika mji wa Wuhan Jimbo la Hubei.

Askari hao waliokuwa katika makundi matatu, wanafanya idadi ya wataal amu wote wa afya wa kijeshi kufikia 4,000. Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi nchini humo, Xi Jinping, ameidhinisha askari hao 2,600 kupelekwa kusaidia kutibu wagonjwa katika hospitali mbili mjini Wuhan, ambao ni kitovu cha mlipuko wa virusi vya corona.

Wakiwa huko, askari hao watatakiwa kufuata mtindo wa matibabu wa Hospitali ya Huoshenshan kwa kuwatibu wagonjwa waliothibitika kuambukizwa virusi hivyo katika Hospitali ya Taikang Tongji na kitengo cha uzazi na afya ya mtoto cha Hubei.

Hospitali hizo mbili zenye uwezo wa kuchukua vitanda 860 na 700 kila moja, zina wodi za kliniki na vitengo vya kudhibiti maambukizi, uchunguzi, utambuzi, uchunguzi wa mionzi, vifaa tiba, dawa za kuua vijidudu, habari na uhandisi wa kitabibu.

Wataalamu hao wa afya wametoka katika taasisi za afya za jeshi, Kikosi cha Wanamaji, Kikosi cha Anga, Kikosi cha Roketi, kikosi cha msaada wa kimkakati, kikosi cha msaada cha pamoja na Jeshi la Polisi.

Miongoni mwao, kundi la kwanza la wataalamu 1,400 wakiwemo madaktari na wauguzi walitaraj

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/9655a6879e07bef3244d5028637863f8.jpg

Wafungwa watatu wa ugaidi waliotoroka katika gereza Kuu na ...

foto
Mwandishi: BEIJING, China

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi