Waandishi wa habari wapigwa msasa Shinyanga

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kujifunza mifumo ya bajeti, sheria, kanuni na miongozo ili waweze kuandika habari zenye ubora zaidi na kuelimisha umma.

Hayo yamesemwa leo Juni 28,2023 na Msaidizi wa Hesabu za Serikali Kanda ya Ziwa, Anna Masanja alipomuwakilisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichele katika mafunzo kwa waandishi wa habari 45 wa Mkoa wa Shinyanga.

Masanja amesema mafunzo kwa waandishi wa habari ni muhimu wameona kuwajengea uwezo na wamekuwa wakifanya hivyo mara kwa mara walianza na kundi la wahariri wa habari wa vyombo vyote nchini.

“Tunatambua umuhimu wa mchango mkubwa wa waandishi wa habari katika kuelimisha umma hivyo ni vyema wakafahamu Sheria, kanuni na taratibu za ofisi za CAG.”amesema Masanja.

Mkurugenzi wa Hudum za Sheria (DCS) Elieshi Saidimu amesema ipo mifumo ya aina tatu ambapo mfumo wa kibunge ndiyo unaotumika kufanya ukaguzj kwenye taasisi za Serikali na Serik

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button