loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

TANZIA: Prof. Tolly Mbwette afariki dunia

Aliyewahi kuwa kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Prof. Tolly Mbwette amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Aghakan.

Kabla ya hapo, Prof. Mbwette alifundisha katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Prof. Mbwette ndiye aliyebuni viti maarufu kama vimbweta vitumikavyo vyuoni, akiwa Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

KATIBU Tawala wa Wilaya ...

foto
Mwandishi: Isdory Kitunda

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi