loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mhandisi ahamishwa akituhumiwa kuhujumu miradi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo amemhamishaa Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Arusha Mhandisi Fordia Mwankenja kwa tuhuma za kuhujumu miradi ya Rais John Magufuli aliyotoa kwa wananchi.

Jafo ameamuru mtumishi huyo kupelekwa kituo kingine cha kazi baada ya kukagua barabara ya Njiro hadi Atomiki ambako hakukuta wananchi katika eneo hilo.

Waziri Jafo alimwambia meneja huyo wa Tarura Wilaya ya Arusha, Mwankenja kwa nini hakuna mwananchi hata mmoja ilhali wakijua Rais Magufuli ndiye aliyotoa fedha nyingi kutengeneza barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 2.8.

TAKRIBANI mifugo 12,000 katika vijiji ...

foto
Mwandishi: Veronica Mheta, Arusha

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi