loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

JPM: Ndugai nitakushangaa kama hutochaguliwa Spika

"Madini yanachimbwa tunawasindikiza, yanaenda kutajirisha wengine, kwani 'black people' hawezi kuwa mwekezaji? alisema Rais John Magufuli wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi mjini Dodoma.

"Ndugai nitakushangaa wasipokuchagua bunge lijalo kuwa spika, watasema nakufanyia kampeni acha nikufanyie, kwani ubaya uko wapi?"amesema kwa kuhoji

Alisema Ndugai aliunda kamati ambayo iliunda sheria nzuri ya madini na kuwezesha nchi kupata mirabaha.

"Nchi imeingia kwenye uchumi wa kati kwa sababu tumedhibiti mali yetu wenyewe, Mmasai ( Saniniu Laizer) amepata madini ni kwa sababu tumedhibiti, kwani siku za nyuma hayakuwepo?" alisema kwa kuhoji Rais Magufuli

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi