loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Wananchi wachangamkia fursa za leseni

WANANCHI mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kupata leseni mpya za udereva na zile zilizohuhishwa katika banda la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika Maonesho ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.

Mkazi wa Dodoma Rayner Nicho alishukuru mamlaka hiyo kwa kuisogeza huduma mbalimbali ikiwemo hiyo ya leseni za udereva kwani imewapunguzia mzigo wa kuifuata mbali.

Naye Ofisa Mkuu wa Uhusiano wa Umma TRA, Oliver Njunwa alisema mbali na kutoa leseni za udereva, huduma nyingine ambazo zinatolewa hapo ni kutoa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN), kwa wafanyabiashara na watu binafsi.

Pia kutoa Ankara za kodi za majengo, kutoa elimu yakodi katika shughuli za kilimo na elimu ya kodi kwa ujumla. 

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia ...

foto
Mwandishi: Lucy Ngowi, Bariadi

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi