loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Baba Mpetipeti Mama, atoe maziwa mengi

“Ili maziwa ya mama yatoke, ni vema mume au mwenza amsaidie kwa kulishika shika ziwa lake na kulikamua huku akimsugua sugua mama mgongoni,” anasema Mratibu wa Afya ya Mama na Mtoto, Manispaa ya Iringa, Sizaria Andrew.

Anasema baba au mwenza anapolishika ziwa na kumsugua mama mgongoni vichochea vya mama vitaamka kwa kuwa akili itamwambia kuna kitu kinatakiwa kutoka.

“ Hii itamsaidia mama kutoa maziwa mengi na mtoto atapata maziwa ya kushiba na itamsaidia katika ukuaji wake, na kuondokana na udumavu,”anasema

Anasema muhimu ni baba kuhakikisha mikono yake inakuwa misafi na vyombo anavyotumia kuhifadhia maziwa hayo ya mama ni safi.

Takwimu za Wizara ya Afya, zinaonyesha asilimia 31 ya watoto nchini chini ya umri wa miaka mitano wana udumavu.

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia ...

foto
Mwandishi: Vicky Kimaro

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi