loader
Waziri Mkuu wa Japan ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Japan ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Japan, Shinzo Abe ametangaza kujiuzulu wadhifa kwa kile alichodai kuwa ni sababu za kiafya.
Abe ambaye amekuwa kiongozi wa muda mrefu nchini Japan amesema kuwa asingependa kuona ugonjwa wake unaathiri maamuzi yake kama kiongozi na kuwaomba radhi wananchi kwa kushindwa kumaliza muda wake wa uongozi.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/9aa9f0a17d218582d5872378bb5fa672.jpg

UGANDA imekubali kuongeza maradufu idadi ya ...

foto
Mwandishi: TOKYO, Japan

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi