loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Ajali yaua baba na mtoto, 6 wajeruhiwa

WATU  watano wakiwemo baba na mtoto, wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyohusisha mabasi mawili ya abiria, yaliyogongana uso kwa uso katika kijiji cha Msanga kata ya Mtesa wilaya Newala mkoani Mtwara.
-
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Mark Njera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo majira ya saa sita mchana 
 
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali ya Wilaya ya Newala na  majeruhi wamelazwa katika hospitali hiyo.

MGOMBEA wa nafasi ya ubunge katika jimbo la ...

foto
Mwandishi: ANNE ROBI Mtwara

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi