loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Majaliwa: ajira sio lazima kukaa ofisini

“Wananchi wa Singida, ingieni kwenye kilimo cha kisasa na chenye tija ili muinue kipato chenu. Hili eneo la Gumanga ni zuri sana kwa kilimo na wengi wenu mnalima mboga mboga,” Kassim Majaliwa Waziri Mkuu ameyasema hayo katika Mkutano wa Kampeni mkoani humo na kuongeza

“Vijana msikae kusubiri ajira za ofisini, ajira siyo lazima ukae ofisini, unaweza kujiajiri kwenye kilimo,” alisema.

Majaliwa ametoa kauli hiyo jana Jumanne Septemba  15, 2020 wakati akizungumza na wananchi waliohudhuria mkutano wa kuwanadi mgombea ubunge wa Iramba Mashariki, Francis Mtinga na mgombea udiwani, James Mkwega uliofanyika viwanja vya stendi ya mabasi Gumanga, wilayani Mkalama, mkoani Singida.

 

MGOMBEA wa nafasi ya ubunge katika jimbo la ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi