loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

JPM: Nipeni miaka 5 tu

“Naombeni mnipe miaka mitano tu, tutafanya makubwa katika muda huo, nikimaliza miaka yangu mitano hiyo, sitaki niongezewe hata siku moja, wapo wengine ndani ya CCM wanaoweza pia kuongoza, nataka nipumzike na mimi niangalie wengine wanavyofanya kazi,” alisema

“Sio kwamba napenda niwe Rais, urais ni mateso, kazi yoyote ukitaka kuifanya vizuri ni mateso, nasema kwa dhati nikishamaliza miaka hii mitano sitaki kuongezewa hata siku moja.”

Akizungumzia mafanikio ndani ya miaka mitano ya utawala wake iliyopita, alisema Muleba imenufaika na zaidi ya Shilingi bilioni 65.32  zilizotolewa kwenye miradi ikiwemo ya afya, elimu, miundombinu na mingine.

MGOMBEA wa nafasi ya ubunge katika jimbo la ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi