loader
Trump, mkewe wakutwa na maambukizi ya Corona,

Trump, mkewe wakutwa na maambukizi ya Corona,

RAIS wa Marekani, Donald Trump na mkewe, Melania Trump wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la BBC, wawili hao wamewekwa karantini.

Trump (74) ambaye hupendelea kutumia mtandao wa Twitter kutoa taarifa mbalimbali ameandika; “Tutayapita haya pamoja.”

Hali hiyo imetokea ikiwa ni muda mfupi kupita tangu msaidizi wake Hope Hicks (31) kukutwa na maambukizi ya ugonjwa huo

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/b9607a42a277dbf97c1cc1038a630182.jpg

Marekani na Umoja wa mataifa zimelaani vikali mauaji ...

foto
Mwandishi: NEW YORK, Marekani

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi