loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

JPM MAPUMZIKO SIKU 8

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia kesho kutwa Jumapili, kwa mujibu wa ratiba ya  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Mgombea huyo wa CCM   kesho atakuwa Uwanja wa Mnazi Mmoja Zanzibar katika Kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho Visiwani Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi.

Mapumziko hayo ya Magufuli yataanza rasmi kuanzia Jumapili Oktoba 4 hadi Oktoba 11 kabla ya kesho yake kufanya mkutano wake wa Kampeni kwenye Viwanja vya Biafra Kinondoni.

 

ILANI ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka ...

foto
Mwandishi: Vicky Kimaro

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi