loader
Dstv Habarileo  Mobile
Bonasi tano bora Watanzania wanazoweza kupata kutoka kwa madalali wa biashara ya kubadili fedha

Bonasi tano bora Watanzania wanazoweza kupata kutoka kwa madalali wa biashara ya kubadili fedha

MOJA ya njia zinazotumiwa na madalali wa kuvutia wafanyabiashara  ni kutoa uwanda mpana wa utoaji wa bonasi pale ambapo wateja wamekeshajisajili katika akaunti maalumu live trading account au akaunti hai ya kufanyia biashara (kwa fasfiri isiyo rasmi).

Kupitia njia hiyo ya kupata bonasi, mfanyabiashara wa Kitanzania halazimiki kuweka kiasi cha fedha katika akaunti yake hiyo pale tu anapojiandikisha kwenye akaunti hai ya kufanyia biashara.

Japokuwa vigezo na masharti vinazingatiwa kwenye bonasi hizo, hakuna shaka kuwa kuwa unafuu mkubwa kwa wafanyabiashara kutoka Tanzania kuanza saari ya kubadili fedha huku ikisaidia madalali kufanya biashara zaidi.

Hawa ndiyo madalali katika huduma ya kubadili fedha za kigenzi wanaotoa ofa ya kupata bonasi bila kuweka fedha.

  1. XM

XM inasimamiwa na ECN na STP

 Hutoa suluhisho kubwa kwa wafanyabiashara sehemu mbalimbali duniani. Unapojisajili kupitia akaunti ya ‘live trading’ kupitia XM, Watanzania wanaweza kupata bonasi ya dola za Kimarekani 30, kiasi ambacho ni sawa na ile bonasi unayopata pasipo kuweka pesa kwenye akaunti.

Wafanyabiashara wanapotumia madalali wa XM kwa lengo la kufanikisha biashara zao, wanakuwa na uwezo kuwa na uwezo wa uwiano wa 1:880 na gharama ndogo za kamisheni kuanzia dola sifuri.

RoboForex

RoboForex inasimamiwa na Market Maker, ECN na STP. RoboForex hutoa huduma zake kwa wafanyabiashara katika maeneo kadha wa kadha duniani. Unaposaini kuingia kwenye akaunti ya ‘live trading’ kupitia RoboForex,  wafanyabiashara kutoka Tanzania wanaweza kupata ofa ya hadi dola za Kimarekani 30.

Kiasi cha kuanzia kuweka katika akaunti ni dola 10 kinachompa mfanyabiashara kupata masharti ya kiushindani katika soko.

AvaTrade

AvaTrade inasimamiwa kwa vigezo vyote na ilishawahi kutunukiwa tuzo. Kampuni hii hufanya kazi zake sehemu mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania.

Unapojisajili katika akaunti ya ‘live trading’ mfanyabiashara wa Kitanzania hupokea kiasi cha dola za Kimarekani 200 pale tu anapoingia kwa mara ya kwanza. Japokuwa bonasi hii haiwezi kuchukuliwa lakini inaweza kutumika pale ambapo inapozungushwa kwenye biashara ambapo faida inaweza kutolewa au kurudishwa kwenye mzunguko.

AAFX Trading

AAFX Trading ni kampuni ya udalali inayosimamiwa na SVGFSA. Kampuni hii hutoa huduma zake duniani kote. Manyabiashara wa Kitanzania anaweza kuungua akaunti yake ya ‘live trading’ kupitia AAFX Trading kwa kianzia cha Dola za Kimarekani 100 na kuanza kunufaika au akaunti ya bonasi bila kuweka fedha.

Wafanyabiashara wa Kitanzania wana fursa ya kupokelewa na bonasi ya hadi asilimia 35 pale wanapojisajili kwenye akaunti ya ‘trading account’ na nyongeza zaidi hadi asilimia 30 pale wanapoweka tena bonasi hiyo pale wanapoweka kwa mara ya kwanza kwenye akaunti ya kuanyia biashara.

OctaFX

OctaFX yenye maskani yake Saint Vincent na Grenadines inahudumia wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Unapojiunga kupitia madalali hao kwa kufungua akaunti ya ‘live trading’ kwa kiasi kisichopungua dola za kimarekani 100, Watanzania wamepewa bonasi ya asilimia 100 kwa kila wanapoweka edha. OctaFX wana vigezo vya kishindani katika soko.

Kwa ujumla Wanzania wana fursa lukuki pale linapokuja suala la madalali wa kubadilisha fedha kwani kutokana na uwezo wao wa kufanya promosheni na bonasi zinazowasaidia wafanyabiashara kuanza saari zao za kufanya biashara ya kubadili edha.

Madalali waliopo katika orodha hii sit u ni wazuri zaidi bali pia wanaheshimika, wanasimamiwa na wanatoa ofa zenye kuzingatia vigezo bora vya ufanyaji biashara.

Unaweza kufungua akaunti yako bure hapa

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/16eb50685e7844263cb5dc9f02efc0dd.PNG

Sehemu kubwa ya ulimwengu wa biashara uli dorora kutokana na ...

foto
Mwandishi: MWANDISHI WETU

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi