loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

Adam Lallana ageuka wakala wa Welbeck

Kama ulikuwa hufahamu, basi taarifa ikufikie kuwa kiungo wa zamani wa Liverpool, Adam Lallana aligeuka kuwa wakala na kwa kiasi kikubwa amefanikisha dili la Danny Welback kujiunga na Brighton Hove Albion.

Welbeck amejiunga na 'Seagulls' jumapili iliyopita akitokea Watford ambako katika michezo 18 alifunga mabao mawili, Welbeck amesaini mkataba wa mwaka mmoja na sasa anakutana na Lallana ndani ya Brighton.

Alipoulizwa juu ya usajili wake ulivyokuwa mpaka kufika Amex, Welbeck alijibu "Nimekuwa na mazungumzo na Mkurugenzi wa Ufundi Dan Ashworth, nimekuwa nikiwasiliana na wengi sana akiwemo Lallana"amesema Welbeck.

 

 

 

GWIJI wa soka duniani, Edson Arantes do Nascimento ...

foto
Mwandishi: Rahimu Fadhili

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi