loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

Cech arejea Chelsea Ozil aachwa Arsenal

Kipa Petr Cech ametajwa katika kikosi cha Chelsea kinatakachocheza michezo ya Ligi Kuu England - licha ya kuwa amestaafu kucheza mwishoni mwa msimu wa 2018-19. Mchezaji huyo wa miaka 38, ambaye ni mshauri wa kiufundi na utendaji wa kilabu, aliongezewa kama "kipa wa dharura".

Kwingineko, kiungo Mesut Ozil ameachwa katika kikosi cha Arsenal cha wachezaji 25 baada ya uhamisho. Manchester United haijamjumuisha beki Phil Jones na kipa Sergio Romero katika orodha yao.

GWIJI wa soka duniani, Edson Arantes do Nascimento ...

foto
Mwandishi: LONDON, England

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi