loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

Wasimamizi uchaguzi waonywa kuhusu matumizi ya vileo 

WASIMAMIZI wa vituo na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi,wameonywa kujiepusha na  tabia ya ulevi wakati wote wa zoezi la upigaji na kuhesabu kura ili kuepuka kwenda kinyume na taratibu zilizowekwa na Tume  ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) .


Mkurugenzi wa Uchaguzi katika jimbo la Tunduru Kusini na Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma,  Gasper Balyomi ametoa kauli jana wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wasimamizi wa vituo na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi mafunzo yaliyofanyika mjini Tunduru.


Alisema, hawatakiwi kufanya mambo yote yaliyokatazwa na tume ya taifa ya uchaguzi ikiwemo kuingia na simu katika chumba cha kuhesabiwa kura, ulevi inayoweza kusababisha fujo na kuathiri zoezi zima la uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

MBUNGE  wa Mkuranga Abdallah Ulega anatarajiwa kufanya ziara ...

foto
Mwandishi: Muhidin Amri, Tunduru

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi