loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mzio ndio sababu ya mafua yasiyopona

 Imeelezwa kuwa tatizo la mafua yasiyopona linatokana na mzio ‘allergy’.

Hayo yamesemwa na Dk Abraham Mwakalambo wa Zahanati ya Mkolemba, wilayani Ilala, Dar es Salaam na   kushauri mtu anayesumbuliwa na tatizo hilo afanye kipimo cha mzio ili kujua ni kitu gani kinachomsababishia ugonjwa huo.

Amesema ugonjwa wa mafua unaweza kumasababishia mtu kupata ‘pneumonia’ na kupoteza kabisa uwezo wa kuhisi harufu.

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa leo amekagua kitalu cha ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi