loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Nyimbo zampa Tanasha kigugumizi

MSANII, Tanasha Donna amesema ana wakati mgumu wa kuchagua wimbo wa kuanza kuachia kwa mwaka huu kutokana na kuwa na nyimbo nyingi kwenye maktaba yake.

Msanii huyo amesema nyimbo hizo ni za aina mbalimbali kitu ambacho kinamchanganya zaidi kujua upi uanze kutoka kwa ajili ya mashabiki wake.

“Nina nyimbo nyingi katika maktaba yangu na nyingine nilizoshirikisha wasanii wengine hivyo, napata wakati mgumu kuchagua nianze kutoa upi,”  ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Februari mwaka jana Tanasha aliachia ‘EP’ yake ya kwanza tangu kuanza muziki iliyoitwa DonnaTella.

EP hiyo ilikuwa na ngoma nne ambazo ni ‘Vie’ aliomshirikisha Mbosso, pia kuna ‘Gere’ ambao ameshirikisha Diamond Platnumz, kuna ‘Ride’ aliomshirikisha rapa Khaligraph Jones na ya mwisho inaitwa ‘Te amo.’

TIMU ya Yanga imeingia hatua ...

foto
Mwandishi: NAIROBI, Kenya

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi