loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mtindi na limao kwa kung’arisha ngozi

HAKUNA siri kila mtu anatamani sura nzuri na rangi isiyo na kasoro. Katika safu hii, tuna orodha kamili ya vidokezo vya urembo vinavyopatikana nyumbani na kuifanya ngozi yako kuwa nzuri.

Katika safu hii leo tutakupa vidokezo vya kuifanya ngozi yako kuwa na unyevunyevu na kuondoa madoa. Mahitaji Kijiko kikubwa kimoja cha mtindi freshi na usiokuwa na ladha Kijiko cha chai kimoja cha maji ya limau Unachotakiwa kufanya ni kuchanganua mtindi na maji ya limao.

Kisha mchanganyiko huo katika uso wako na uache kwa dakika 20. Baada ya muda huo osha uso kwa maji baridi. Unaweza kufanya hivi ama asubuhi kabla ya kuoga au usiku kabla ya kulala.

Mtindi na limao vyote ni huifanya ngozi kuwa na unyevunyevu na huondoa madoa.

Limao pia huwa na vitamin C ambayo huulinda ngozi dhidi ya uharibifu wa miale ya jua. Mtindi huboresha ngozi kwa ujumla na pia huifanya ngozi ing

Waziri Mkuu Mstaafu, ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi