loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Rais Magufuli ahimiza somo la historia kujenga uzalendo

Rais Dk John Magufuli amesema amekuwa akisisitiza ufundishwaji wa somo la historia ya Tanzania kwakuwa somo hilo litapelekea kujenga uzalendo wa nchi.

Dk Magufuli amebainisha hayo leo Jijini Dar es Salaama alipokuwa akizundua Jengo la Jitegemee.

 “Historia ndio somo linalojenga uzalendo katika nchi yoyote nchi ikikosa historia yake imepotea na hiki ndicho tumepungukiwa watanzania hivyo lazima tujue historia yetu na historia hiyo tukiijua itatujengea uzalendo” amesema Dk Magufuli.

 Awali akizungumza katika tukio hilo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Bashiru Ally amesema kuwa hadi kukamilika kwa jengo hilo zimetumika Shilingi milioni 800 badala ya bajeti iliyokuwa imepangwa ya zaidi ya bilioni mbili.

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, ...

foto
Mwandishi: Alfred Lukonge

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi