loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mkutano kuhusu Afrika ya Kati waahirishwa tena

MKUTANO wa kilele wa Kanda ya Maziwa Makuu (ICGLR) uliokuwa ufunguliwe leo mjini hapa, umehirishwa kwa mara ya pili

Umeahirishwa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni udhibiti mji wa Bossangoa, uliofanywa na jeshi.

Jumuiya ya Kanda ya Maziwa Makuu ilitarajia kuandaa mkutano kwa lengo la kuendeleza mazungumzo, ili kumaliza ghasia zinazoendelea katika  Jamhuri ya Afrika ya Kati tangu mwezi wa Desemba mwaka jana.

Wakati huo huo, Baraza la Uchumi na Jamii la Jamhuri ya Afrika ya Kati lilipokea wawakilishi wa vyama vya kiraia na vyama vya siasa vya upinzani kwa lengo la mazungumzo ya kitaifa.

Ripoti ya hitimisho la mashauriano hayo, itawasilishwa kwa mamlaka.

JOPO la Majaji 12 nchini Marekani limemtia hatiani ...

foto
Mwandishi: LUANDA, Angola

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi