loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Bayern na PSG zinaweza kumzuia Man City

Unaambiwa Bayern Munich na Paris Saint-German ndio timu zinazoweza kuizuia Manchester City iliyo katika kiwango bora ili isiweze kuchukua ndoo ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya msimu huu.

Kauli hiyo imetolewa na beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand.

City iliifunga Borussia Monchengladbach Jumatano iliyopita  ukiwa  ni ushindi  wao wa 19 mfululizo katika mshindano yote  jambo lililofanya  wachambuzi wengi wa soka duniani kuipa nafasi kubwa ya kubeba ndoo hiyo.

Ferdinand anaamini kuna baadhi ya timu zinaweza kuizuia City lakini amewapa asilimia kubwa Bayern na PSG kutokana na  timu hizo nazo kuwa katika kiwango bora msimu huu.

KLABU ya soka ya Simba imeingia mkataba ...

foto
Mwandishi: Manchester, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi