loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Nguli Arsenal akerwa na Pepe,Willian

Nahodha wa zamani wa Arsenal, Tony Adams amesema timu hiyo haikupaswa kuwasajili Martin Odegaard, Nicolas Pepe na Willian na badala yake walitakiwa kuimarisha safu ya ulinzi ambayo kwa sasa ni dhaifu.

Adams anaona kitendo cha kusajili wachezaji hao ni kama kupoteza hela kwa kulenga wachezaji wanaoshambulia wakati safu  ulinzi haiko vizuri, licha ya timu hiyo kuwa na rekodi nzuri katika suala za ulinzi msimu huu.

“Niliudhika sana tulipowanunua Pepe na Willian kuja kukipiga hapa wakati tuna makinda wetu Emile Smith na Bukayo Saka waliokuwa wanaanza kuchipukia ambao nafasi zao zimechukuliwa na wachezaji ambao hawana hata msaada kati klabu´amesema  Adams.-

KLABU ya soka ya Simba imeingia mkataba ...

foto
Mwandishi: LONDON, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi