loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Serikali yawadhibiti Nzige

SERIKALI imetangaza kudhibiti nzige wa jangwani walioingia nchini mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka huu na kwamba serikali ipo makini kupambana na wadudu hao.

Waziri wa Kilimo,  Profesa Adolf Mkenda amesema leo kuwa  wataalamu wa Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Halmashauri za Wilaya za Longido, Siha na Simanjiro wamewadhibiti wadudu hao

Profesa Mkenda amesema mapambano dhidi ya nzige yanaendelea vizuri na hadi sasa hakuna madhara kwenye maeneo ya kilimo na mifugo ya wananchi.

Kwa mujibu wa Profesa Mkenda, jitihada za kuangamiza makundi ya nzige yaliyobaki zinaendelea kwa kutumia helkopta na mabomba ya kupiliza kwa mikono.

JOPO la Majaji 12 nchini Marekani limemtia hatiani ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi