Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amelazwa katika hospitali ya Nairobi nchini humo baada ya taarifa mbalimbali kueleza kuwa afya yake haiku imara hivyo kuhitajika kufanya vipimo zaidi.
Taarifa za mtandao wa Tuko nchini humo zinaeleza kuwa Odinga amepelekwa hospitali kutokana na uchovu baada ya safari ndefu ya kutembelea pwani ya Kenya katika jiji la Mombasa.
1 Comments
Hubert remigius
Mungu awajalie uzima wa afya viongozi wetu.