loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Chelsea kumrudisha Lukaku?

Kuna tetesi kuwa Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya paundi milioni 86.3  kwa ajili ya kumrudisha mshambuliaji wa Inter Milan raia wa Ubelgiji, Romelu Lukaku (27), endapo watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund,  Erling Haaland (20).

Kwa mujibu wa mtandao wa Calciomercato.com, Chelsea inamuona Lukaku kama mbadala sahihi wa Haaland, endapo watashindwa kumnasa.

Pia Chelsea na Liverpool zimetajwa kuchuana kutaka kumsajili kinda kiungo wa Ajax, Ryan Gravenberch (18)

KUMEKUWA na zogo kwenye soka la Ulaya tangu ...

foto
Mwandishi: LONDON, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi