loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

PEREZ AZIONYA UNITED, CITY

Rais wa Klabu ya Real Madrid, Florentino Perez amezionya Manchester United and Manchester City kutokujitoa katika ligi hiyo.

Onyo hilo linafuati baada ya baadhi ya mashabiki na wachambuzi wa soka kukasirishwa na kitendo cha City na United kukubali miongoni mwa klabu waanzilishi wa ligi hiyo mpya, ambao wanatakiwa kufikia 15 lakini hadi sasa ni timu 12 tu zimethibitishwa kushiriki .

Baadhi ya ripoti zimesema kuwa huenda klabu hizo mbili zikajitoa kwenye ligi hiyo.

Aidha, imeripotiwa kuwa kila time mwanzilishi itapokea karibu Paundi milioni 350 kwa kujisajili.

Perez amedai kuwa mashindano hayo ni muhimu katika kuuokoa mpira na hali mbaya ya kifedha.

MANCHESTER United leo itaikaribisha Liverpool katika ...

foto
Mwandishi: MANCHESTER, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi