loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Solskjaer: Van De Beek hauzwi

Kocha wa Machester United, Ole Gunnar Solskjaer amezikata maini timu zinazomnyatia kiungo wake Donny van de Beek kwa kusema kuwa mchezaji huyo hauzwi.

Solskjaer ana amini Mholanzi huyo (miaka 24) atakuwa mchezaji muhimu United licha ya kutopata nafasi ya kutosha uwanjani ambapo amecheza dakika 330 tu katika Ligi Kuu ya England msimu huu.

 Klabu ya As Roma ya nchini Italia imekuwa inataka mchezaji huyo kwa udi na uvumba lakini mchezaji huyo akili yake inamtuma kutaka kurejea katika timu yake ya zamani ya Ajax alipotokea kabla ya kuja United msimu huu.

MWISHO wa ngebe ni leo baada ya dakika ...

foto
Mwandishi: MANCHESTER, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi