loader
Dstv Habarileo  Mobile
Miradi 177 ya maji katika hatua nzuri- Awesu

Miradi 177 ya maji katika hatua nzuri- Awesu

SERIKALI imeendelea kutekeleza miradi 177 ya maji inayolenga kuboresha upatikanaji wa huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Miji Mikuu ya Mikoa, Miji Mikuu ya Wilaya, Miji midogo na Miradi ya Kitaifa. 

Haya yameelezwa na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2021/22 kwa Wizara hiyo.

Amesema hadi mwezi Machi 2021,utekelezaji wa miradi miradi 67 kwa gharama ya Sh bilioni 759.2 umekamilika na utekelezaji wa miradi 110 upo katika hatua mbalimbali. 

Utekelezaji wa miradi hiyo unahusisha ujenzi, ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya majisafi na usafi wa Mazingira, pamoja na kuzijengea uwezo Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa kuzipatia mafunzo, vitendea kazi na kujenga ofisi.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/e483d0fd88705685a74592ff074a6b1e.jpg

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ...

foto
Mwandishi: Na Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi