loader
Dstv Habarileo  Mobile
Rashford abaguliwa mara 70

Rashford abaguliwa mara 70

Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amesema kuwa hadi sasa amepokea jumbe 70 za kibaguzi kupitia mitandao ya kijamii ukiwemo mtandao wa Twitter.

“Hadi sasa nimepokea jumbe 70 zenye ubaguzi, kwa wale wanaohisi kuwa nitaumia kuliko nilivyowahi nawatakiwa mema waendelee kufanya hivyo,”aliandika Rashford.

Kupitia mtandao huo, timu hiyo imefafanua kuwa suala hilo ni kumkosea heshima mchezaji huyo na vitendo hivyo vinapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Imefahamika kuwa mtandao huo umefuta akaunti zote zilizohusika na jumbe hizo na kuelezwa kuwa polisi wanafuatilia kwa ukaribu kuwanasa wahusika wa akaunti hizo.

 

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/cc004fd7d4c740d6f43d5c0a26ff66c0.jpg

LIVERPOOL inatarajia kutoa jaribio kali kwa ...

foto
Mwandishi: MANCHESTER, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi