loader
Dstv Habarileo  Mobile
Gattuso kuondoka Fierontina baada ya Siku 23 kazini

Gattuso kuondoka Fierontina baada ya Siku 23 kazini

Kocha Gennaro Gattuso anatarajia kuondoka katika klabu ya Fiorentina ya ligi kuu ya Italia baada ya kufuifundisha timu hiyo kwa siku 23 akiwa kocha mkuu.

Kocha huyo ambae ni Bosi wa zamani wa klabu za AC Milan na Napoli amekua katika mzozo na Fiorentina kuhusu wachezaji gani wanapaswa kutia saini klabuni hapo msimu huu wa majira ya joto.

Fiorentina inataka wachezaji wa gharama nafuu ambao inaweza kumudu kuliko waliopendekezwa na wakala wa Gattuso.

Tetesi za soka zinadai Fiorentina inamlenga kocha Rudi Garcia kuchukua mikoba ya Gattuso.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/ecfa423a9873baaa27f6efb879e94a2f.jpg

OLE Gunnar Solskjaer amesema, kuwasili kwa ...

foto
Mwandishi: SKYSPORTS.COM

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi