loader
Dstv Habarileo  Mobile
Mabula: Tengeni maeneo ya uwekezaji

Mabula: Tengeni maeneo ya uwekezaji

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, amezitaka halmashauri ama vijiji kuhakikisha inatenga maeneo ya uwekezaji na kuyakatia hati ili kuondoa usumbufu kwa wawekezaji wanapotafuta ardhi ya kuwekeza.

Dk  Mabula ametoa rai hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa uwekezaji wa Mkoa wa Mbeya, na kuwataka wakurugenzi na wasimamizi wa ardhi katika maeneo yao kuhakikisha wanayakatia hati maeno yaliyotengwa kwa uwekezaji

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi