loader
Dstv Habarileo  Mobile
Parachichi kuuzwa Afrika Kusini

Parachichi kuuzwa Afrika Kusini

Naibu waziri wa Kilimo Hussein Bashe amsema kuanzia msimu huu Mazao ya Parachichi yanayozalishwa hapa nchini yataanza kuuzwa katika soko la Afrika Kusini.

Bashe amesema, taratibu zinaendelea vizuri na kwamba msimu huu, mazao hayo yataanza kuuzwa nchini humo licha kwamba hapo awali yalizuiliwa kuuzwa katika soko hilo

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi