loader
Dstv Habarileo  Mobile
GSM yamwaga mapesa Coastal Unioni

GSM yamwaga mapesa Coastal Unioni

Mkuu wa mkoa wa Tanga Adam Malima ameanza mikakati ya kusaidia timu ya mpira wa miguu ya Coastal Union katika maandalizi ya kuelekea ligi Kuu.

Ambapo katika hatua za awali Kampuni ya GSM imetoa msaada wa sh Milioni 50 kati ya Milioni  100 walizoahidi kwa ajili ya kusaidia timu hiyo iweze kufanya usajili wa wachezaji wazuri ambao wataweza kuleta ushindani katika mechi mbalimbali watakazo kabiliana nazo kwenye ligi hiyo

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/b00cb0008d7e3697b58b6fded4428e36.jpg

TIMU ya Taifa ya Soka la Watu wenye ...

foto
Mwandishi: Amina Omari, Tanga

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi