loader
Serikali kujenga masoko ya kisasa 12

Serikali kujenga masoko ya kisasa 12

SERIKALI kupitia Wizara ya Utalii, Wanyamapori na Mambo ya Kale imejipanga kufungua utalii kuzunguka Ziwa Victoria.

Meneja wa Idara ya Elimu na Habari katika Kituo cha Elimu ya Wanyamapori cha Uganda (UWEC), David Musingo, alibainisha hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari aliposisitiza kuwa, mpango huo utakuwa na tija kwa kuwa hilo ni eneo lililotulia.

“Ziwa Victoria ni eneo lililotulia… Jamii zinazolizunguka zinaishi katika umaskini kwa sababu ya ukosefu wa mpango mkakati wa kupanga ndio maana UWEC kwa kushirikiana na Wizara ya Utalii na wadau wengine, tunafungua kile kitakachojulikana kama The Lake Victoria Circuit kwa kuanza kuandaa mpango kazi,” alisema.

Kwa mujibu wa Musingo, mpango huo si tu kwamba utafanyika katika eneo la Entebbe pekee, bali pia utapanuka hadi maeneo mengine kama Kalangala, Buvuma, Jinja na maeneo mengine na kwamba, utasaidia kuvutia wageni kuwekeza katika sekta ya utalii nchini hapa.

Ofisa Uhusiano wa Umma wa UWEC, Eric Ntalo, alisema mradi wa utalii kuzunguka Ziwa Victoria una thamani ya Sh milioni 706 na utaanza miezi sita baada ya kukamilika kwa mpango kazi.

Ntalo alibainisha kuwa, UWEC inatarajia kupata boti ya kisasa yenye uwezo wa kubeba abiria 56 huku ikiwa na mwendokasi wa kilometa 40 kwa saa

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/6c83cd3e83307f92d736c4cf8853c997.jpg

MGANDA Jacob Kiplimo amevunja rekodi ya dunia katika ...

foto
Mwandishi: ENTEBBE, Uganda

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi