loader
Dstv Habarileo  Mobile
Wafungwa 200 watoroka Nigeria

Wafungwa 200 watoroka Nigeria

Wafungwa zaidi ya 200 wameripotiwa kutoroka katika jela moja nchini Nigeria huko magharibi mwa Afrika.

Maafisa katika jimbo la Kogi Nigeria wanasema kuwa wafungwa v240 wametoroka baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza katika eneo la Kabba-Bunu. Mamlaka ya huduma za magereza nchini Nigeria imesema katika taarifa yake baada ya tukio hilo kwamba,  washambuliaji walikuwa wamejihami kwa silaha.

Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa maafisa wawili wa usalama wameuawa wakati wa tukio hilo.

Taarifa zinasema kuwa, wakati wavamizi walipofika, walikabiliana na walinzi wa gereza, na ndipo walipofanikiwa kuingia ndani ya gereza baada ya kuwazidi nguvu maafisa wa usalama wa ngereza hilo.

Mamlaka ya huduma za magereza nchini Nigeria imesema kuwa, kulikuwa na jumla ya wafungwa 294 katika gereza hilo wakati shambulio lilipotokea, na kwamba, 240 kati yao walikuwa wakisubiri kesi zao, na 70 walikuwa tayari wameshhukumiw

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/460449e377b42f38cf5e578aa5e392c9.jpg

Aliyekuwa Waziri wa Masuala ya Kigeni nchini Marekani, ...

foto
Mwandishi: LAGOS, Nigeria

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi