loader
Dstv Habarileo  Mobile
Boris Johnson atengua uteuzi wa Waziri wa Makazi

Boris Johnson atengua uteuzi wa Waziri wa Makazi

Waziri wa Uingereza, Boris Johnson ametengua uteuzi wa Waziri wa Makazi, Robert Jenrick katika mwendelezo wa kuunda Baraza jipya la Mawaziri unaofanyika muda huu Downing Street, Uingereza. 

Kupitia Twitter yake Jenrick anasema “ Imekuwa ni heshima sana kuitumikia nafasi hii, asante kwa kila mmoja wenu katika idara hiyo, kwa kazi kubwa kwa hakika nafurahi kwa kile tulichotengeneza pamoja.”

Boris Johnson anaendelea kuunda Baraza jipya la Mawaziri, kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa taifa hilo baada ya kupata nafuu ya janga la Corona

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/d652c890aa0e61b714ad697842052424.jpg

Aliyekuwa Waziri wa Masuala ya Kigeni nchini Marekani, ...

foto
Mwandishi: DOWNING STREET, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi